Lebo

Jumamosi, 20 Juni 2015

EXCLUSIVE CV ya Dr.Harrison Makyembe mgombea urais kupitia CCM

Dr Harrison Mwakyembe achukua fomu za kuwania Urais kupitia CCM
DR.HARRISON MWAKYEMBE AKIONYESHA FOMU AIYOICHUKUA HAPO JANA


Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe ameingia leo rasmi katika kiny’ang’anyiro cha kuwania urais, kwa kuchukua fomu Mjini Dodoma kuomba ridhaa ya CCM kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, mwaka huu.
Dk. Mwakyembe ambaye anakuwa mwanachama wa 37 wa CCM kuchukua fomu amesema akipatiwa ridhaa ya kuwania urais atatekeleza Ilani ya CCM, na pia atapambana na rushwa kwa nguvu zake zote kama alivyokuwa anafanya akiwa katika nyadhifa zote alizoshika serikalini.
Hii hapa ni CV yake ni kabla ya kuiboresha kwa kuongeza nafasi ya uwaziri wa uchukuzi na sasa waziri wa Afrika Mashariki, je anafaa kupewa mikoba ya JK?

Member of Parliament CV

 
GENERAL
Salutation Hon. Member picture
First Name: Dr. Harrison
Middle Name: George
Last Name: Mwakyembe
Member Type: Elected Member
Constituent: Kyela
Political Party: Chama Cha Mapinduzi
Office Location: P.O.Box 9423, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 782 242 526

Office E-mail: hmwakyembe@parliament.go.tz
Member Status: Active
Date of Birth 10 December 1955
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Kituli Primary School - Shinyange CPEE 1964 1968 Primary School
Tukuyu Primary School - Rungwe CPEE 1961 1962 Primary School
Ndembela Primary School CPEE 1963 1964 Primary School
Milambo High School ACSEE 1973 1974 Secondary School
Tabora Secondary School CSEE 1969 1972 Secondary School
Tanzania School of Journalism Diploma (Journalism) 1975 1977 Diploma
University of Dar es Salaam Bachelor of Laws (LL.B) Hons 1980 1983 Bachelor
University of Turin - Italy PostGraduate Certificate in Intellectual Property 2001 2001 Postgraduate Diploma
University of Dar es Salaam Master of Laws (LL.M) 1984 1986 Masters Degree
University of Hamburg (FRG) Master of Laws (LL.M) 1990 1991 Masters Degree
University of Hamburg (FRG) Doctor of Laws 1992 1995 PhD
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From To
Ministry of Works Deputy Minister 2010 To Date
The Parliament of Tanzania Member - Kyela Constituency 2005 2015
Zanzibar Government Commissioner 2001 2005
East African Community Member of Parliament 2001 2005
University of Dar es Salaam Head, Department of Constitutional Admin. Law 1999 2002
University of Dar es Salaam Senior Lecturer in Law 1998 2005
University of Dar es Salaam Head, Department of International Law 1997 1999
South Law Chambwers Advocates Advocates (Hight Court of Tanzania) 1996 2002
University of Dar es Salaam Lecturer in Law 1991 1997
University of Dar es Salaam Assistant Lecturer in Law 1986 1990
University of Dar es Salaam Tutorial Assistant in Law 1984 1986
Tanzania News Agency (SHIHATA) Journalist 1978 1980
Information Services Division Jounalist 1977 1977
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Mapinduzi - CCM Member - National Executive Committee (NEC) 2006 2010
Chama Cha Mapinduzi - CCM Youth Commander - Dar es Salaam 2004 2009
Chama Cha Mapinduzi - CCM Law Advisor 2001 2005
PUBLICATIONS
Description
Dr. H. Mwakyembe: Tanzania's 8th Constitutional Amendments & Its Implications on Constitutionalism (2000) Democracy & The Union Question, LIT Publishers, Hamburg, Germany.
1995
 

 











 
















































Hakuna maoni:

Chapisha Maoni