Kuna msemo maarufu kwamba kila kiumbe alichokiumba mwenyezi Mungu basi alikiumba kwa sababu maalumu na ni lazima kiumbe hicho kiheshimiwe. Pamoja na ukweli huo bado haifichi ukweli kwamba kuna viumbe ni wabaya kwa kuwatazama na kwa kweli hata kama umekumbana nae asubuhi ukiamka yaani ndo awe mnyama wa kwanza kumuona kwa siku hiyo bila shaka siku yako haitakuwa njema sana. Wafuatao ni wanyama wabaya zaidi kwa sura, umbo na mwonekano.

1.BLOBFISH:

2.ORIENTAL YETI

3. Celestial Eyed Goldfish

4.STAR NOSED MOLE
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni