Kiongozi bora ni yupi?
Chakula kinapikwa na pindi kitakapoiva, kila mmoja atagawiwa pasipo kupunjwa.Nchi yetu inajiandaa na uchaguzi mkuu mnamo oktoba 2015, watu mbalimbali wanajitokeza kutangaza nia kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi haswa nafasi ya urais.
Lakini, kiongozi bora ni yupi? Anatakiwa kuwa na sifa zipi? Je, kati ya watangaza nia wote kuna hata mmoja mwenye sifa za kupewa mikoba ya kuliongoza taifa hili katika kipindi hiki kigumu?
Je, itakuwa vipi kama mhalifu atapewa fursa na kukaa magogoni?Mwalimu Nyerere alipata kusema haya; "Ikulu na mahala patakatifu"
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni