Lebo

Jumanne, 12 Mei 2015

Maisha baada ya kifo yapo?

Je, unaamini kwamba kuna maisha baada ya kifo?
Au unaamini kwamba kuna wakati wa hukumu baada ya binadamu kukutwa na mauti?
Ikiwa ndivyo, hii ina maanisha kwamba binadamu anaishi baada ya kuondokana na mazingira ya duniani?
Je, anaishije huko?
Anakula,anakunywa,anatembea,anaongea au anasikia?
Vipi ana mwili wa nyama au roho?
Kama roho basi, ataunguaje motoni siku ya hukumu?
.....................................................................................................................................
....................................................................................................................Ungana nami katika programu yangu ya UDADISI KUNTU siku chache zijazo ili upate kujua siri ya ulimwengu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni