Jumamosi, 30 Mei 2015
Wajua wagombea Urais watakaotangaza nia ndani ya masaa 72
Ukitazama kwa umakini mchoro huo hapo juu, utagundua kwamba karibia kila mgombea aidha atatangaza nia akiwa katika mkoa anaotoka au ukanda anaotoka. Yawezekana ni ile hali ya kutekeleza ule msemo wa mcheza kwao hutuzwa au ni style mpya ya mwaka 2015.
Ngoja tuendelee kusubiri watangaza nia wengine ili tujue kama nao watakimbilia kwao au popote Tanzania ni nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni