Lebo

Jumamosi, 20 Juni 2015

PICHA: USICHOKIJUA KUMHUSU MSANII DIAMOND PLATNUMZ

MSANII WA MUZIKI WA BONGO FLEVA DIAMOND PLATNUMZ AKIPAMBWA MIDOMO KATIKA MAANDALIZI YA KILE KILICHORIPOTIWA KUWA NI MAANDALIZI YA KUFANYA SHOOTING. KULE KWETU KWA AKINA MWAKYOMA, MWALUGAJA,MWABHALEJA,MWANDOSYA AU MWAKOSYA, UKIONEKANA UNAFANYIWA HIVYO BASI UJUE UTATENGWA NA UKOO MZIMA. LAKINI KWA VIJANA WA KISASA HASWA KATIKA ULIMWENGU WA SANAA YA MUZIKI HAYO NI MAMBO YA KAWAIDA NA SEHEMU YA KUMFANYA MWANAMUZIKI AONEKANE MWENYE MVUTO ZAIDI.
                  
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni