JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA
RATIBA YA KUAGA NA MAZISHI YA MAREHEMU DONALD KEVIN MAX
BUNGE LA TANZANIA
RATIBA YA KUAGA NA MAZISHI YA MAREHEMU DONALD KEVIN MAX

RATIBA YA KUAGA RASMI NA MAZISHI YA MAREHEMU DONALD K. MAX, SIKU YA IJUMAA TAREHE 26 JUNI, 2015 NA JUMAMOSI TAREHE 27 JUNI, 2015 KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE NA MAKABURI YA KINONDONI
NA. MUDA TUKIO MHUSIKA MAHALI
IJUMAA TAREHE 26 JUNI, 2015
1. 02:00 – 6:00 Chai na maombolezo Familia Nyumbani
2. 6:30 – 7:30 Chakula cha mchana Familia Nyumbani
3. 8:00 – 9:00 Kuwasili wageni mbalimbali Familia Nyumbani
4. 9:00 – 9:30 Spika wa Bunge kuwasili msibani Familia Nyumbani
5. 10:00 – 10:30 Mwili wa marehemu kuwasili nyumbani Upanga kwa ajili ya Misa fupi Familia Nyumbani
6. 10:30 – 12:00 Kutoa heshima za mwisho Wote Nyumbani
7. 1:30 - na kuendelea Mkesha wa maombolezo kwa Familia Wote Nyumbani
JUMAMOSI TAREHE 27 JUNI, 2015
1. 12:00 – 1:30 Familia kuandaa Mwili Familia Nyumbani
2. 1:30 – 2:00 Chai Wote Nyumbani
3. 2:00 – 2:30 Sala fupi Wote Nyumbani
4. 2:30 - 3:00 Waombolezaji kuwasili katika Viwanja vya Karimjee Katibu wa Bunge Karimjee
5. 3:00 -3:15 Mwili wa Marehemu kuelekea Ukumbi wa Karimjee Wote Karimjee
6. 3:00 – 3:15 Viongozi wa Vyama vya Siasa, Waheshimiwa Wabunge, Manaibu Waziri, Mawaziri kuwasili na kuketi katika nafasi zao Katibu wa Bunge Karimjee
7. 3:15 - 3:20 Kiongozi wa Upinzani Bungeni kuwasili Katibu wa Bunge Karimjee
8. 3:20 – 3:25 Mhe. Spika kuwasili Katibu wa Bunge Karimjee
9. 3:25 – 3:30 Mhe. Jaji Mkuu kuwasili Katibu wa Bunge Karimjee
10. 3:35 – 3:40 Mhe. Waziri Mkuu kuwasili Katibu wa Bunge Karimjee
11. 3:40 - 3:45 Mhe. Makamu wa Rais kuwasili Katibu wa Bunge Karimjee
12. 3:45 – 4:00 Mhe. Rais kuwasili Spika Karimjee
13. 4:00 - 4:05 Mwili wa Marehemu kuwasili kwa Gwaride Maalum la Sergeant-At-Arms Katibu wa Bunge Karimjee
14. 4:05 - 4:15 Sala Fupi Kanisa Katoliki Karimjee
15. 4:15 - 4:20 Wasifu wa Marehemu Katibu wa Bunge Karimjee
16. 4:20 – 4:30 Mhe. Rais kuaga Mwili na kutoa salamu za Rambirambi Spika Karimjee
17. 4:30 – 4:45 Mhe. Rais kuondoka Karimjee Spika Karimjee
18. 4:45 - 4:50 Salaam za Rambirambi toka Geita Mwakilishi Karimjee
19. 4:50 - 4:55 Salaam za Rambirambi toka Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani KUB Karimjee
20. 4:55 - 5:00 Salaam za Rambirambi toka Chama cha Mapinduzi Katibu Mkuu Karimjee
21. 5:00 - 5:05 Salaam za Rambirambi za Serikali Waziri Mkuu Karimjee
22. 5:05 – 5:10 Salaam za Rambirambi za Uongozi wa Bunge Mhe. Spika Karimjee
23. 5:10 – 5:15 Salamu za Rambirambi za Wabunge wa Mkoa wa Geita Mwenyekiti wa Wabunge wa Mkoa wa Geita Karimjee
24. 5:15 – 5:20 Salamu za Rambirambi za Wabunge kutoka Zanzibar Mwenyekiti wa Wabunge wa Zanzibar Karimjee
25. 5:20 – 5:25 Salamu za Rambirambi za Wabunge wa Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji Mwenyekiti wa Kamati Karimjee
26. 5:25 - 5:30 Neno la Shukrani toka kwa Familia Mwakilishi wa Familia Karimjee
27. 5:30 - 6:30 Kuaga Mwili wa Marehemu kuungana na Itifaki Itifaki Karimjee
28. 6:30 - 6:45 Viongozi wa Kitaifa kuelekea Makaburini Itifaki Karimjee
29. 6:45 - 7:00 Msafara wa Waombolezaji na Mwili wa Marehemu kuelekea Makaburini RPC Karimjee
30. 7:00 Mwilli wa Marehemu na Waombolezaji Kuwasili Makaburini Itifaki Makaburi ya Kinondoni
31. 7:00 - 7:15 Ibada ya Mazishi Kanisa Katoliki Makaburi ya Kinondoni
32. 7:15 - 7:30 Kuweka udongo kulingana na Itifaki MC Makaburi ya Kinondoni
33. 7:30 - 7:50 Kuweka Mashada kulingana na Itifaki MC Makaburi ya Kinondoni
34. 7:50 – 8:05 Viongozi wa Kitaifa na Waombolezaji Kuondoka Makaburini Itifaki Makaburi ya Kinondoni
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni