![]() |
JAJI AUGUSTINO RAMADHANI AKIWA NA FOMU YAKE MKONONI |
Jumatano, 17 Juni 2015
BREAKING NEWS: JAJI MSTAAFU AUGUSTINO RAMADHAN AMECHUKUA FOMU YA URAIS
Habari kutoka ndani ya CCM zinaelezwa kwamba Jaji Mstaafu Augustino Ramadhan amechukua fomu ya kuwania Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, mjini Dodoma muda mfupi uliopita.
"Nimesoma shule mbalimbali za msingi Mpwapwa mkoani Dodoma 1952 -1953 nikaenda Town School-Tabora nikasoma darasa la tatu hadi la nne mwaka 1954-1956 na darasa la sita na saba nilisoma Kazel Hill sasa inatwa Shule ya Msingi Itetemia mwaka 1957-1958. Na darasa la nane tu mwaka 1959 nikarudi kusoma Mpwawa.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni