Lebo

Ijumaa, 12 Juni 2015

Tazama picha 5; Msanii Alikiba akiwachekechua wana Washington DC

1.Mambo ya Alikiba hayo

2.Wapenzi wa muziki wa Alikiba wakichukua picha kwa ajili ya kumbukumbu

3.Abdu Kiba na Ali Kiba wakiwa wameketi sambamba na promota wao DMK GLOBAL, muda mfupi kabla ya show

4.Umati wa wapenda burudani wakichekechua ladha halisi ya bongo fleva ya Alikiba

5.Msanii Alikiba, mwenye kofia nyeupe akiimba kwa hisia sambamba na mdogo wake, Abdul Kiba

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni